Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa Mandera wameandaa maandano kulaani mauaji ya watu sita kwenye shambulizi lililotekelezwa katika barabara ya Arabia–Mandera. Waandamanaji hao walipita katika mji wa Mandera wakitoa wito kwa asasi za usalama…