Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi ujenzi wa ukumbi wa kijamii wa Kinondo, katika eneo la Kigaleni wadi ya Kinondo, kaunti ndogo ya Msambweni. Ujenzi wa ukumbi…