Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya kaunti ya Kiambu inalenga kuzindua hospitali 32 mpya, kufikia mwezi Disemba mwaka huu ambazo zimegharimu kitita cha shilingi bilioni 2.6. Gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi, amedokeza…