Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mvua kubwa inatarajiwa kushuhudiwa katika kaunti ya Nairobi na viunga vyake kati ya leo Ijumaa na Jumamosi. Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa imewatahadharisha raia kuwa waangalifu kutokana na…