Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa nchini (KEBS) limeandaa sheria kadhaa mpya zinazolenga kuimarisha uangalizi wa soko, uthibitishaji wa bidhaa na kulinda watumiaji. Shirika hilo liko mbioni kuziba mianya inayotumiwa…