Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema Kenya na Ufaransa zinaendelea kufurahia uhusiano ulioimarika, huku Ufaransa ikiwa mwekezaji Mkuu hapa nchini. Kiongozi huyo wa taifa alidokeza kuwa Mataifa hayo mawili yanapanua ushirikiano wao…