Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la Wazee kaunti ya Kakamega, limewaonya wanasiasa dhidi ya kuvuruga hafla za mazishi katika kaunti hiyo. Kulingana na Baraza hilo, viongozi wa kisiasa ambao watahusishwa na ghasia katika hafla…