Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bei za lita moja ya mafuta ya Petroli na Mafuta Taa, zimepungua kwa shilingi moja, kulingana na bei mpya zilizotangazwa Alhamisi na Halmashauri ya kudhibiti Kawi na Petroli hapa Nchini…