Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu Mkuu wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Edwin Sifuna, amesimama kidete kuwa kamwe hatahudumu katika wadhfa huo chini ya kiongozi mpya aliyeidhinishwa jana Oburu Odinga na kongamano maalum…