Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Malkia Strikers waliokuwa wamewashinda Zambia seti 3-0, katika mechi ya ufunguzi wanaongoza kundi hilo kwa alama sita nayo Senegal ina alama 3, huku Burkina Faso ikiburura mkia bila alama.