Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu za Misri, Pyramids FC na Al Ahly, zilikiona cha mtema kuni baada ya kubanduliwa katika kipute cha Ligi ya Mabingwa Afrika ziliposhindwa nyumbani Jumamosi. Pyramids walivuliwa ubingwa baada ya…