Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washiriki kutoka nchi 28 barani Afrika walikongamana katika Chuo Kikuu cha Chuka kujadili mbinu za kukabiliana na ukosefu wa chakula, hasa kwa kutumia tekonolojia za jeni katika sekta ya kilimo. …