Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki, walivamia eneo la Cleveland karibu na mji wa Johannesburg na kuwapiga risasi watu ambapo 12 walifariki na wengine 9 kujeruhiwa. Kulingana na msemaji wa polisi…