Rais William Ruto anatarajiwa kutoa hotuba ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2025 leo usiku katika Ikulu ndogo ya Kisii.
Ruto amekuwa kwenye likizo ya Krismasi nyumbani kwake Kilgoris.
Itakuwa mara ya kwanza kwa Ruto kulihutubia taifa kutoka ikulu hiyo ndogo ya Kisii.