Rais William Ruto anatarajiwa kufungua michezo ya mabunge ya jumuia ya Afrika Mashariki EAC, katika kaunti ya Monbasa leo.
Michezo hiyo inashirikisha Wabunge kutoka mataifa tisa ya EAC, na yatakamilika tarehe 18.
Ni mara ya kwanza kwa Rais Ruto kufungua michezo hiyo ,ambayo pia inaandaliwa Kenya kwa mara ya kwanza tangu ashike hatamu za uongozi.