Rais Ruto awalisi New York kwa kongamano la 81 la UNGA

Aliongeza kuwa lengo lake ni kutafuta fursa za ajira ughaibuni na kutafuta soko kwa bidhaa zinazozalishwa na wakulima humu nchini.

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais William Ruto wa Kenya amewasili mjini New York,Marekani Jumapili alasiri tayari kuhudhuria kongamano la 81 la kikao cha Umoja wa mataifa .

Ruto anatarajiwa kuelezea ajanda kuu ya serikali ya Kenya kuhusu uwekezajo,mbinu za kuwavutia watoaji mitaji ya kibiahsara kutoka barani Afrika, na uwezo wa Afrika katika matumizi ya akili unde pamoja na uchumi .

Aliongeza kuwa lengo lake ni kutafuta fursa za ajira ughaibuni na kutafuta soko kwa bidhaa zinazozalishwa na wakulima humu nchini.

Kongamani hilo litaandaliwa kati ya Jumanne ijayo Septemba 22 hadi tarehe 28 .

Kaulimbiu ya kongamano hilo ni kurejesha uaminifu,kusimamia mabadiliko;Umoja wa Mataifa unaotekeleza kw awote.

Share This Article