Katika mahojiano yetu hii leo na naibu mkurugenzi katika wizara ya jumuia ya afrika mashariki nchini kenya soita wafuke, tunaangazia manufaa ya pande zote mbili, yatakayoafikiwa iwapo somalia itaruhusiwa kujiunga na jumuia hii. soita anaeleza pia mikakati inayofuatwa, ili kukubali ombi la taifa kujiunga na jumuia ya afrika mashariki
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/ac08145d-299d-418b-b7b1-31f53c2158ec