Taifa la Somalia lilijiunga na jumuiya ya Afrika Mashariki wiki iliyopita na kuwa nchi mwanachama wa nane wa jumuiya hiyo, Hata hivyo Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema kujiunga na EAC kutaleta mabadiliko makuu.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/8dc8cd03-f760-4772-95f2-f4440e1de93f