Maeneo mengi humu nchini yanatarajiwa kushuhudi mvua kati ya Jumapili na Jumatatu ijayo huku viwango vya kadri vya mvua vikitarajiwa katika kipindi kilichosalia mwezi huu.
Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imesema mvua hiyo itaanza Jumapili, kaba ya kuongezeka
Jumatatu na kuenea katika kaunti nyingi nchini.
Maeneo yanayotarajia mvua ni pamoja na Naiobi,bonde la ufa,nyanda za chini ,milimani na pia meneo mengi ziwa .