Mbunge wa Emurua Dikir Johana Ng’eno kuzikwa leo Ijumaa

Dismas Otuke
0 Min Read

Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ngéno, anazikwa nyumbani kwake leo Ijumaa, mazishi yanayohudhuriwa na Rais William Ruto.

Ngéno pamoja na wengine watano waliangamia kwenye mkasa wa ajali ya helikopta iliyoanguka eneo la Mosoriot kaunti ya Nandi.

Hadi kifo chake, Ngéno alikuwa akihudumu kwa muhula wa tatu katika bunge la kitaifa.

Share This Article