Mawaziri na Makatibu waapishwa Ikulu ya Nairobi

Mawaziri walioapishwa ni pamoja na Geoffrey Ruku, wa utumishi wa umma, na Hanna Cheptumo, wa masuala ya jinsia.

Dismas Otuke
1 Min Read

Mawaziri wawili na makatibu 14 walioteuliwa maajuzi wameapishwa leo katika Ikulu ya Nairobi, hafla iliyoshuhudiwa na Rais William Ruto.

Rais William Ruto pamoja na Baraza lake la Mawaziri walihudhuria hafla hiyo ya kuapishwa .

 

Mawaziri walioapishwa ni pamoja na Geoffrey Ruku, wa utumishi wa umma, na Hanna Cheptumo, wa masuala ya jinsia.

Makatibu 14 walioapishwa ni pamoja na wale wapya na waliohamishwa hadi wizara nyingine.

Miongoni Makatibu wapya na Stephen Isaboke wa Utanagzaji anayemrithi Professa Edward Kisingiani.

Rais Ruto amewapa changamoto Mawaziri na Makatibu hao kutoa kipa umbele katika kutumikia umma kwa uwajibikaji.

Website |  + posts
Share This Article