Mamlaka ya Usalama barabarani (NTSA) imewataka wasimamizi wa shule kuhakikisha madereva wote wanaohusika na usafiri wa shule wamehitimu na wanahudhuria mafunzo ya mara kwa mara ili kupunguza ajali barabarani.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/dc392a12-a0fc-4d82-ac70-4a8bd5528583