Huku mvua ya elinino ikizidi kunyesha sehemu mbali mbali hapa inchini, Wakaazi wa Lamu wanaoishi maeneo nyanda za chini na mabondeni wametakiwa kuhamia maeneo ya juu ili kuepuka kusombwa na mafuriko.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/5987beac-e619-4843-bd48-f2924688b4ce