Wafanyabishara katika wadi ya Gatunga kaunti ya Tharaka Nithi wametangaza kususia kulipa kodi kwa serikali ya kaunti hiyo kwa madai kwamba serikali hiyo haijakuwa ikiwapa maendeleo licha ya kulipa kodi.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/695086e7-841b-40b2-b685-b55be79f0ea6