Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kubuni ajira kukabili uraibu wa mihadarati miongoni mwa vijana

radiotaifa
0 Min Read

Serikali kuu imetakiwa kubuni nafasi za ajira miongoni mwa vijana ili kukabili uraibu wa mihadarati ambao umesheheni nchini.

Kulingana na mtaalam wa masuala ya usalama Enock Makanga, uraibu huu wa mihadarati miongoni mwa vijana umechangia pakubwa katika ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika maeneo mengi nchini

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/8780dda9-5772-408e-ae72-11615a81680d

Share This Article