Ziara ya Rais William Ruto katika mkoa wa Nyanza imepongezwa na wengi. Rais William Ruto alizindua miradi mbali mbali katika kaunti za mkoa huo unaoegemea mrengo wa Upinzani.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/5e56b30a-92cd-4f7b-adea-5c59334e0efd