Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais amekuwa akizuru maeneo mbalimbali nchini wakati akizindua miradi ya maendeleo na kunadi serikali ya Kenya Kwanza takriban mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.