Matukio ya Taifa: Raila awataka wafuasi wake kutoingiwa na wasi wasi anapowinda wadhfa AU

radiotaifa
1 Min Read

KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..

  • Serikali yaombwa kuondoa ushuru wa dawa za kukabiliana na  makali ya magonjwa sugu kama hatua ya kupunguza gharama ya matibabu.
  • Raila awarai wafwasi wake kutokuwa na wasiwasi anapowinda nafasi ya mwenyekiti muungano wa umoja wa Afrika.
  • uzalishaji wa taka ngumu unatarajiwa kuongezeka kutoka tani bilioni 2.3 mnamo 2023 hadi tani bilioni 3.8 ifikapo 2050 kulingana na data kutoka kwa utafiti wa usimamizi wa taka ulimwenguni.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/44354b0f-caa8-4809-bbf4-38eae1b08427

Share This Article