Mhubiri Paul Mackenzie wa Kanisa la Good News International na washtakiwa wenzake 29 wataendelea Kuzuiliwa kwa siku saba zaidi kusubiri uamuzi wa ombi lililowasilishwa upya na serikali mwezi uliopita.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/fa54c0d0-4f2a-4501-8819-253b0cee273e