Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali itafungua afisi ya kushughulikia pasipoti mjini Malindi, kaunti ya Kilifi, ili kuhakikisha wakazi wa eneo hilo wanapata hati hiyo muhimu wanapotafuta ajira ughaibuni. Akizungumza katika shule ya msingi ya…