Mshukiwa mmoja wa wizi wa kimabavu ameuwawa kwa kuketezwa na wananchi waliokuwa na ghabhabu baada ya kupatikana akiiba kwenye kanisa moja huko Ngonda, eneo bunge la Matungulu katika kaunti ya Machakos.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/7c12cbae-c4a3-4d29-bab9-cca4d982098f