Wagonjwa katika kaunti ya Busia hii leo wamehangaika kupata huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari ambao umeathiri hospitali nyingi kaunti hiyo. Mgomo huo ulifanyika kwa kile madakatri hao wanasema ni kukosa kupandishwa vyeo miongoni mwa masuala mengine.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/e547b046-7ca0-4a4c-b3f0-db8b23457611