Majeshi ya Israel yameripotiwa kuwaua wanamgambo wanne wa kundi la Hezbollah
siku ya Jumatano, katika shambulizi jipya .
Yamkini jeshi la Israel limekuwa likitekeleza mashambulizi ya kushtukiza eneo la West Bank nchini Palestina,kwa siku moja iliyopita kuwasaka wanamgambo
hao.
Pia kumeripotiwa makabiliano makali baina ya Wapalestina na majeshi ya Israel katika eneo la Tulkarem, kwenye kambi ya wakimbizi ya Nur Shams.