Maambukizi ya Ebola nchini DRC vyafikia 7,000

Haya yanajiri licha ya taifa hilo la Afrika Mashariki kuanza kutoa chanjo ya kitaifa ya Ebola ili kuzuia maambukizi mapya.

Dismas Otuke
1 Min Read

Maambukizi ya vurusi vya ugonjwa wa Ebola yamefikia 7,000 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku idadi ya waliofariki ikifikia 3,398.

Kulingana na ripoti za serikali ya DRC jumla ya watu 7138 wameripoitiwa kufariki kufikia Ijumaa iliyopita kutokana na virusi vya Bundibugyo.

Aidha,idadi ya mikoa iliyoripoti maambukizi imeongezeka hadi saba ,mkoa wa hivi punde ukiwa South Ubangi.

Haya yanajiri licha ya taifa hilo la Afrika Mashariki kuanza kutoa chanjo ya kitaifa ya Ebola ili kuzuia maambukizi mapya.

TAGGED:
Share This Article