Kipute cha Ligi Kuu Uingereza kitaingia mechi za raundi ya 9 mwishoni mwa juma hili baina ya Ijumaa na Jumapili, huku kilele ikiwa mchuano bauna ya Arsenal watakaowakaribisha Liverpool katika uwanja wa Emirates Jumapili hii.
Arsenal watalenga kurejelea tambo za ushindi baada ya kuambulia kichapo cha kwanza wiki jana mikononi mwa Bournemouth.
Unaweza kutazama mechi kati ya Arsenal na Liverpool mbashara kupitia Showmax.
Manchester City watwaandaa Southampton wakilenga kuendeleza ushindi, wakati Manchester United ikiwa ugenini London Jumapili dhidi ya Westham United nao Chelsea watakuwa Stamford Bridge kumenyana na Newcastle United.
Friday 25 October
22:00: Leicester City v Nottingham Forest
Saturday 26 October
17:00: Aston Villa v AFC Bournemouth
17:00: Brentford v Ipswich Town
17:00: Manchester City v Southampton
19:30: Everton v Fulham
Sunday 27 October
17:00: Chelsea v Newcastle United
17:00: Crystal Palace v Tottenham Hotspur
17:00: West Ham United v Manchester United
19:30: Arsenal v Liverpool