Kocha wa Mali Eric Sekou Chelle ataja kikosi cha AFCON

Dismas Otuke
1 Min Read

Kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Sekou Chelle,ametaja kikosi cha wandinga 27 watakaoshiriki fainali za AFCON.

Makala hayo ya 34 yataandaliwa nchini Ivory Coast, kati ya Januari 13 na Februari 11 mwaka huu.

Kocha Sekou ametaja kikosi mseto cha wachezaji chipukizi na walio na tajriba kama vile Ismael Diawara,Yves Bissouma na Moussa Doumbia.

Mali maarufu kama the Flying Eagles wan
wamerushwa kundi E pamoja na na Namibia, Afrika Kusini,na Tunisia.

Share This Article