Kimeli awahi tiketi ya dunia

Dismas Otuke
1 Min Read

Nicholas Kimeli na Daniel Simiu wamejikatia tiketi kwa mashindano ya dunia katika mita 10,000, katika siku ya kwa za ya majaribio ya kitaifa uwanjani Nyayo.

Kimeli aliziparakasa mbio hizo za mizunguko 24 kwa dakikka 27 sekunde 29 nukta 8 akifuatwa na Simiyu kwa dakika 27 sekunde 30 nukta 5.

Mashindano hayo yatakamilika Jumamosi kabla ya kutajwa kwa kikosi kitakachoshiriki mashindano ya riadha ulimwenguni mwezi ujao mjini Budapest Hungary.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *