Kenya yatwaa nishani ya fedha michezo ya ufukweni Afrika

Dismas Otuke
1 Min Read

Timu ya Kenya ya mpira wa mikono kwa wanawake ilinyakua nishani ya fedha katika michezo ya ufukweni mjini Hammamet,Tunisia.

Vidosho wa Kenya walipoteza mabaoa 3-1 dhidi wenyeji Tunisia kupitia penalti kufuatia sare ya goli 1-1.

Matokeo ya mwaka huu yalikuwa bora kwa vipusa wa Kenya waliomaliza katika nafasi ya nne mwaka 2019 katika makala ya kwanza.

Timu ya wanaume pia ilijizatiti na kumaliza katika nafasi ya tano, ikiimarika kutoka nafasi ya 9 mwaka 2019.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *