Kampuni za ndege nchini Uganda zaongeza nauli hadi asimilia 50 kuanzia Mei

Dismas Otuke
1 Min Read

Kampuni za ndege za abiria nchini Uganda zimetangaza kuongeza bei ya nauli za usafiri kwa kati ya asilimia 25 na 50, kuanzia Mei mosi mwaka huu kutokana kupanda bei ya mafuta.

Bei hiyo mpya iliyoongezwa kwa usafiri wa ndege wa ndani ya nchi,  huenda ikaathiri vibaya sekta ya utalii ambayo ni uti wa mgongo kwa taifa hilo.

Hali hiyo imechangiwa na vita vya Israel na Marekani nchini Iran.

Share This Article