Junior starlets watua Adis tayari kuikabili Ethiopia

Dismas Otuke
1 Min Read

Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Junior Starlets iliwasili mjini Adis Ababa, Ethiopia Ijumaa jioni tayari kwa mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Burundi Jumapili  hii.

Kenya watakabiliana na Burundi kesho  katika duriu ya kwanza ya raundi ya nne huku marudio yakiandaliwa Nairobi baada ya wiki moja ambapo mshindi wa jumla atafuzu kwa fainali za kombe la Dunia.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *