Jambojet yarejelea safari zake za Nairobi -Entebe

Kuzinduliwa kurejelea kwa safari hiyo kulifanya katika uwnaja wa kimataofa wa ndege wa Jomo Kenyatta na uwnaja wa Entebe nchini Uganda.

Dismas Otuke
1 Min Read

Kampuni ya ndege ya Jambojet imerejelea safari zake kati ya Nairobi na Entebe kwa mara ya kwanza tangu ilipositihsa usfari huo kutokana na janga la Covid 19.

Kuzinduliwa kurejelea kwa safari hiyo kulifanya katika uwnaja wa kimataofa wa ndege wa Jomo Kenyatta na uwnaja wa Entebe nchini Uganda.

Jambojet ilianza safari za kila siku kutoka Nairobi hadi Entebe na Entebe hadi Nairobi Oktoba mosi mwaka huu.

Kampuni ya Jambojet iliiangia nchini Uganda kwa mara ya kwanza mwaka 2018.

Balozi wa Kenya nchini Uganda Ababu Namwamba alisema kurejelewa kwa safari hizo na Jambojet kutafungua fursa nyingi katia ya kenya na Uganda na kuimarisha ushirikiano.

Aidha,Jambojet itaanzisha huduma ya usafirishaji mizigo ili kurahisha bishara bain ya Kenya na Uganda.

Share This Article