Bingwa wa Sirikwa Classic Cross country mwaka huu Emmaculate Achol Anyango, amefungiwa kushiriki mashindano baada ya kupatikana kuwa mlaji muku.
Kulingana na kitengo cha maadili ya wanariadha AIU,mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 24 amepatikana kuwa mtumiaji wa dawa iliyopigwa marufuku ya Testosterone na EPO.
Anyango pia ni mwanariadha wa pili mwenye kasi ulimwenguni katika mbio za kilomita 10.