Idadi ya walioangamia huko Texas Marekani kutokana na mafuriko ya Ijumaa, imefikia watu 59 wakiwemo 21.
Mafuriko zaidi yameshuhudiwa mapema Jummosi baada ya mto Guadalupe, kuvunja kingo zake.
Watu wengine 850 waliokolewa wengi wao wakiwa wamejishikilia kwenye miti.
Wasichana 11 kati 700 waliokuwa katika kambi ya kanisa wangali hawajulikani walilo baada ya mafuriko kusomba jumba walimokuwa.
 
					 
			 
                                
                              
		 
		 
		 
		