Idadi ya waliongamia kwenye mkasa makabiliano nchini Sudan kati ya Jumatatu na Jumanne wiki hii imepanda na kufikia 127.
Makabiliano hayo yalizuka kati ya polisi wa kawaida na wanajeshi na kusababisha maafa ya raia 127.
Makundi hayo mawili ya maafisa wa usalama yamekuwa na uhusiano baridi kwa zaidi ya miezi 20 ilyopita,huku yakishambuliana na mabomu yakitaka kudhibiti mji wa Darfur.
Kulingana na Umoja wa Mataifa watu milioni 20 wanahitaji msaada wa chakula huku wengine milioni 12 wakihama makwao.