Dunia Wiki Hii: Spika wa Marekani abanduliwa katika kura ya Kihistoria

radiotaifa
0 Min Read

Kevin McCarthy amefukuzwa katika uasi wa mrengo wa kulia – mara ya kwanza kabisa kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kupoteza kura ya kutokuwa na imani naye.

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/5767924b-8d43-419e-9bbd-5d02d5cb91f3

Share This Article