DJ anayedaiwa kumuua polisi wa DCI kusalia rumande kwa siku 14

Dismas Otuke
1 Min Read

Washukiwa wa mauji ya polisi wa DCI, Simon Wambugu Wanjiru, Joseph Mwenda Munoru maarufu kama DJ Joe Mfalme, Khadija Abdi Wako, Sammy Cheruiyot Rotich, Agnes Kerubo Mugoi na washukiwa wengine wawili watasalia rumande kwa majuma mawili zaidi wakisubiri uchunguzi kukamilika.

Washukiwa hao walifikishwa mbele
ya hakimu wa makahama Kibera huku kiongozi wa mashtaka akitamu muda wa majuma matatu kukamilisha uchunguzi.

Kesi hiyo itatajwa tena tarehe 8 mwezi ujao.

Share This Article