Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito ni mojawapo wa sababu kuu za magonjwa na vifo miongoni mwa wanawake wenye ujauzito ulimwenguni kote. Kwenye kipindi cha Daktari wa Radio tunaungana na wataalamu ambao wanatusaidia kuchanganua kwa kina ugonjwa huu ambao unatishia afya ya wanawake
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/0a3af068-e5f1-465b-a2dc-56c0b33d008e