Chama tawala nchini Korea Kusini kimeapa kumwadhibu Rais Yoon Suk Yeol, kwa kumpiga marufuku kwa kosa la kuanzisha sheria za kijeshi kwa raia.
Haya yanajiri huku upinzani ukipanga kupinga kura ya kumtimua Rais Yoon, kwa kura ya kutokuwa na imani bungeni kesho.
Endapo atabanduliwa taufa hilo litalazimika kufanya uchaguI mdogo ndani ya siku 60.