Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, ameivunja serikali ya mpito ya nchi hiyo miezi mitatu kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba 22. Hatua hiyo inamaanisha kuwa muda wa serikali…