Bidhaa za Canada kutozwa ushuru mpya wa asilimia 35 kuingia Marekani mwezi ujao

Aidha, Trump ameapa kuongeza ushuru huo zaidi endapo Canada italipiza kisasi.

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais wa Donald Trump ametangaza kuanza kutekeleza ushuru mpya wa asilimia 35 kwa bidhaa zote za kutoka Canada zinazongizwa Marekani.

Kupitia kwa barua ya mtandao wa kijamii,Trump amemwelezea Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney kuwa ushuru huo mpya utaanza kutekelezwa Agosti mosi.

Aidha, Trump ameapa kuongeza ushuru huo zaidi endapo Canada italipiza kisasi.

Ushuru huo utaongezeka kwa asilimia 10 kutoka asilimia 25 za sasa.

Website |  + posts
TAGGED:
Share This Article